VIWANJANI: “Wamesajili wachezaji wenye daraja kubwa kiasi”
Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis anasema uongozi wa Mbeya City usitoe presha kwa benchi la ufundi kwa hali waliyonayo sasa.
Rashid anasema Mbeya City kwa sasa wawe na malengo ya kusalia kwenye ligi, wasijibebeshe mzigo mkubwa.
Mbeya City leo itaikaribsha Dodoma Jiji kwenye NBC Premier League, saa 8:00 mchana LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPL #NBCPremierLeague