VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis anasema anatamani kuiona Yanga SC ikiwa na mwendelezo mzuri wa kucheza mechi za ugenini kama ilivyocheza dhidi ya JS Kabylie katika mchezo wake wa pili hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Yanga itakuwa ugenini Februari 7, ikicheza dhidi ya AS FAR saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania.
Mechi hiyo itakuwa LIVE #AzamSports2HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #Viwanjani