Matumizi ya zana duni za kilimo imetajwa kuwa miongoni sababu zinazowaweka mbali vijana kujihusisha na kilimo katika mataifa mengi ya Afrika ikiwemo Tanzania.

Hayo yamebainishwa katika Mkutano wa Kikanda wa Kujadili Zana Endelevu za Kilimo, uliofunguliwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *