Afisa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Richard Shabani amewashauri watoa huduma katika vituo vya masaji pamoja na saluni kuchukua tahadhari za kiafya kwa kujikinga wakati wa kutoa huduma na kupima afya mara kwa mara ili kupunguza hatari ya kuenea kwa magonjwa yanayoweza kusababishwa na mgusano au hewa

✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | John Mbalamwezi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *