Serikali imejipanga kuhakikisha wakulima nchini wanaondokana na kilimo cha mkono kupitia mpango wa kugawa matrekta 10,000 katika halmashauri zote nchini, ambayo utawawezesha wakulima kuyakodi kwa gharama nafuu.
Mhariri | John Mbalamwezi
#AzamTVUpdated