Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Hamisa Kalombola ameliagiza Baraza la Wafanyakazi la Tume hiyo kufanya majadiliano ya kina kuhusu Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027, akisisitiza kuwa ni fursa muhimu ya kubainisha vipaumbele, matumizi ya rasilimali na mikakati ya kuboresha utendaji wa Tume
Mhariri | John Mbalamwezi
#azamtvupdates