Shirikisho la Vyama vya Mahujaji Tanzania (TAHAFE) limelalamikia idadi ndogo ya Waislamu waliojitokeza kujiandikisha kwa ajili ya ibada ya hija nchini Saudi Arabia.

Hadi sasa, mahujaji 1,300 pekee ndio wamejiandikisha, licha ya Tanzania kupewa nafasi ya mahujaji 20,000.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *