Wananchi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita wametakiwa kutunza na kuhifadhi mazao ya chakula waliyofanikiwa kuvuna katika msimu wa kilimo, kufuatia kutokuwepo kwa mvua za uhakika katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi