Miongoni mwa nyenzo muhimu unazoweza kuzitumia kujiajiri na kukuza biashara yako ni mikopo. Je, unafahamu kwa kina taratibu za kupata mikopo inayotolewa na halmashauri kwa makundi maalum yakiwemo vijana, wanawake na watu wenye ulemavu?
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | John Mbalamwezi
#azamtvupdates