#HABARI: Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) kwa namna ya kipekee kupitia Shindano la Royal Love Challenge.

Katika shindano hilo, wapendanao wanatakiwa kupakia picha zao kwenye mitandao ya kijamii ili kushindanisha picha bora, jambo linalolenga kuleta msisimko na kusherehekea upendo kwa ubunifu zaidi mkoani humo.

Washindi watakaoibuka kidedea katika shindano hilo watapata zawadi nono, ikiwemo fursa ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kwa ajili ya utalii.

Aidha, mbali na matembezi hayo ya kitalii, washindi pia watatunukiwa fedha taslimu, ikiwa ni sehemu ya motisha ya kuimarisha utamaduni wa kuthamini vivutio vya ndani na kukuza uhusiano wa wapendanao.

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *