Wadau wa utalii visiwani Zanzibar wameiomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serkali ya Oman kukamilisha ujenzi wa nyumba ya “Baitul Ajaib” ambayo ni kielelezo cha utawala wa kale na sehemu ya kihistoria katika eneo la Mji Mkongwe ambayo iliangka mwaka 2020.

Naima Haji amefuatilia.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *