ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Lukman Mohamed Abdallah anasema mwaka jana hakufanya vizuri kwenye mashindano ya #vishada, mwaka huu sasa amepania haswa.
Uhondo unaanza kesho Februari 7.
Mashindano yatakayoanza ni ya #KaskaziCup2026 na baadae yatafanyika ya #KusiCup2026.
#Vishada #KitSurf