NFL Superbowl LX – Patriots Vs Seahawks

Superbowl 2026 ni New England Patriots dhidi ya Atlanta Seahawks, mwaka 2015 timu hizi zilikutana na Patriots wakashinda kwa 28 – 24 kwa ushindi ulioshangaza wengi.

Patriots wamefika fainali mara 11 na kushinda mara 6 na kuwa timu pekee kwenye historia ya NFL.
Je, watazidi kuweka historia ama Seahawks kulipa kisasi cha 2015?

Mshindi wa album bora ya mwaka katika tuzo za Grammy, Bad Bunny ndio kutumbuiza katika half time show.

Usikose kilele hiki cha American Football live kupitia chaneliza ESPN na ESPN2 saa 8:00 usiku kuamkia Jumatatu February 09.

#NFL #SuperbowlLX #Patriots #Seahawks #AzamTV

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *