#HABARI: Watu sita wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Ulamba, Kata ya Kalunde wilayani Tabora, wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa ,iliyokuwa ikinyesha usiku wa kuamkia leo wilayani hapo, hali iliyowasababishia majeraha katika sehemu mbalimbali za miili yao, huku nyumba yao ikiteketea kwa moto uliotokana na radi hiyo, ambapo wananchi wametangaziwa mchango wa kuwasaidia waathirika hao.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)