Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM itikadi uenezi na mafunzo Kenani Kihongosi amesema wanasiasa wanaohama vyama ili kutafuta vyeo hawaaminiki kwakuwa wanahaha kutafuta madaraka.
Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Juni 20/2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mwembetogwa Iringa Mjini.
Amesema ni muhimu kuwakataa wansiasa “Makanjanja” wanaotapatapa kuhama vyama ili kuoata vyeo
Hayo yanajiri wakati akihitimisha ziara yake mkoani Iringa iliyolenga kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa mradi ya maendeleo ambapo ameeleza kuridhishwa uhainwa Chama na shughuli za maendeleo Mkoani humo.
(Feed generated with FetchRSS)