PAMBA JIJI vs NAMUNGO FC: “Maandalizi yote ya kucheza na timu nzuri kama hiyo yamekamilika …”
Kocha wa Namungo FC Juma Mgunda, amesema Pamba ni timu bora ikiwa katika uwanja wa nyumbani hivyo wamejipanga vema kwa ajili ya kuzitafuta alama tatu muhimu.
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz
Ni kuelekea mchezo wa NBC Premier League ambao utapigwa kesho saa 10:15 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi
#PamvaJijivsNamungo #PambaJiji #Namungo