Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan , akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali wateule.

Miongoni mwa viongozi walioapishwa ni pamoja na Dkt Fabian Madele kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia masuala ya mifugo na Prof. Mohammed Sheikh kuwa Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya uvuvi.

Uapisho huo umefanyika leo Jumatatu, Februari 9, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *