SINGIDA BS vs FOUNTAIN GATE: Kocha wa Fountain Gate FC, Mohamed Lazer anasema mechi dhidi ya Singida BS, mara zote huwa sio nyepesi na ikumbukwe kuwa walima alizeti hao wametoka kupoteza hivi karibuni katika mchezo wa CAF.
Kwa upande wake mchezaji Jackson Kataga Shiga anasema wamejipanga kukabiliana na wapinzani wao Singida BS.
Ni mechi ya NBC Premier League ambayo itapigwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi