Katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna amesisitiza kuwa hataondoka katika wadhifa wake hata baada ya azimio la Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC) kumtimua.

Sifuna aliapa kulinda urithi wa hayati Raila Odinga, akiapa kusalia kukabiliana na upinzani ulioendelezwa na timu inayomtii kiongozi wa sasa wa chama Oburu Oginga.

Alizungumza na wanahabari Alhamisi, Februari 12.

Chanzo: TUKO.co.ke

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *