#BSSNextLevelRevolution | Mastori ya BSS Arusha, huyu Chalii alikuja siku ya kwanza akaondoka hata kabla zamu yake haijafika, siku ya pili akaomba kupewa namba mpya, akatoa na sababu zake 😅
BSS inabisha hodi Mbeya wikiendi hii, tutakutana hapo GR Comfort Hotel, jitokezeni kwa wingi tuna jambo na kipaji chako.
#BongoStarSearch #VipajiHDKuzingatiwa
(Feed generated with FetchRSS)