Mahakama Kuu ya Rufaa ya mjini Bloemfontein nchini Afrika Kusini imeridhia ombi la familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, la kuzikwa nchini Afrika Kusini ambako alifariki dunia.

Hata hivyo, bado haijulikani iwapo uamuzi huo wa mahakama utakuwa mwisho wa mzozo wa kisheria kuhusu hatima ya mwili wa Lungu, kufuatia mvutano wa muda mrefu kati ya familia yake na Serikali ya Zambia inayoongozwa na Rais Hakainde Hichilema.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *