Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imevunja Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ubadhirifu wa mali za kanisa hilo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Frank Kanyusi amesema uamuzi huo umechukuliwa baada ya kubainika kwa vitendo vinavyokiuka misingi ya uongozi na usimamizi wa mali za taasisi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *