#HABARI: Licha ya katazo na tahadhari kwa baadhi ya wananchi, wanaovuka katika daraja la juu eneo la Stendi ya Magufuli, kwa kupenyeza kwenye uzio uliowekwa, bado idadi kubwa ya wananchi wameendelea kuvuka kwenye uzio huku wakikiri kuhatarisha maisha yao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.