#HABARI: Rais William Ruto amewakemea viongozi wa Upinzani wa Muungano nchini Kenya kwa kile ambacho anadai wanaendelea kupinga miradi na sera zake anazosema zinalega mageuzi muhimu Kenya. Usemi wa Ruto umejiri wakati ambapo muungano wa upinzani umeendeleza kampeni zake eneo la Kisii.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *