“….na kwa upande wa shirika letu la ndege ATCL tumeshaandaa mkakati sisi Serikali wa kuhakikisha katika mashindano haya ya AFCON tunalitumia shirika hili kimkakati, moja tutaongeza safari nyingi uelekea kwenye maeneo yote ambayo mashindano yatafanyika Tanzania, Kenya na Uganda ili asitokee hata mtu mmoja atakayeshindwa kusafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine…..”-Gerson Msigwa – Msemaji Mkuu wa Serikali.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *