Serikali imekiri kuwa meli iliyokamatwa ikibeba tani 6.6 za cocaine nchini El Salvador ilisajiliwa Zanzibar, lakini hakuna Mtanzania aliyekuwepo wakati inakamatwa.

Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akibainisha kuwa tayari Zanzibar imechukua hatua.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *