Wakati maombolezo ya kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo yakiendelea, baadhi ya waamini na watu wa kada mbalimbali wameeleza jinsi watakavyomkumbuka kiongozi huyo wa kiroho, wakiguswa zaidi na unyenyekevu, msimamo, na upendo wake, hususan kwa vijana.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)