#HABARI: Viongozi wa Upinzani nchini Kenya wameikosoa Serikali ya Rais William Ruto, baada ya kubainika kuwa kiongozi wa kundi la waasi la Rapid Support Forces la Sudan -RSF, Mohamed Hamdan Dagalo na familia yake wamepewa paspoti za usafiri za Kenya.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania