Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizowafanya waanzishe kozi maalum kwa wasichana wa kazi za ndani ni pamoja na utafiti walioufanya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, ulioonesha uhitaji wa kujiendeleza kwa kundi hilo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)