Wakati mfumuko wa bei ya mafuta ukizidi kuyakumbuka mataifa mbalimbali duniani, Tanzania imezindua teknolojia ya kisasa ya magari ya umeme huku Serikali ikiahidi kujenga vituo nchi nzima ili watumiaji wa magari hayo wasipungukiwe nishati hiyo wawapo safarini.

#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *