#HABARI: Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, wametakiwa kutokuwa vikwazo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi na badala yake waisimamie iweze kuleta tija zaidi pamoja na kuifanya Halmashauri hiyo kuendelea kupata hati safi.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Bwana Stewart Nombo, katika baraza maalum la Madiwani, kujadili taarifa ya utekelezaji wa mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)