Usajili na usaili wa washiriki wa mashindano ya vipaji ya Bongo Star Search (BSS) msimu wa 16 sasa ni rasmi jijini Dar es Salaam, ambapo mchakato huo utafanyika kwa siku tatu katika eneo la Makumbusho ya Taifa.
Sambamba na mashindano hayo, Azam TV imeweka kambi maalum katika maeneo manne ya Dar es Salaam ili kuwafahamisha wateja kuhusu unafuu wa huduma na bidhaa zake, pamoja na kufanya matengenezo ya visimbuzi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)