“…Mwisho wa siku Serikali inafanya maamuzi kwa niaba ya wananchi, wananchi wakipiga kelele wanapaswa kusikilizwa, kwenye kuwasikiliza inasaidia kule ndani mnapokuwa mnachakata kusikiliza hivi wakosoaji wa jambo hili wao mawazo yao ni nini?…”Bw.David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji PPP.
#Dakika45
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.