Zaidi ya kaya 100 katika vijiji vinne vya Halmashauri ya Mtama zimebaki bila makazi baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa, ambayo pia yameharibu mazao mbalimbali.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)