#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka wananchi na viongozi kuendelea kushirikiana bila kubaguana kwa misingi ya dini au itikadi za kisiasa ili kudumisha amani na mshikamano nchini.
Akizungumza katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, iliyohitimishwa kwa futari (iftar) wilayani humo, Shaka amesema umoja na upendo ni msingi muhimu wa maendeleo ya Taifa.
Amesisitiza kuwa kuishi kwa kuheshimiana bila kuangalia tofauti za kiitikadi au kidini kutarahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuchochea maendeleo endelevu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.