Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itadhibiti mianya ya ukwepaji wa kodi.

Aidha, Rais Samia amesisitiza kuwa Udhibiti huo utaongeza ufanisi wa makusanyo ya kodi nchini.

Amesema hayo akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 18, 2026.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *