#HABARI: Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora kupitia kwa Katibu wake Mch. Lameck Hadhina limeiomba radhi Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa, Paul Chacha baada ya kupinga maamuzi ya kamati hiyo ya kusitisha sherehe za Injili kufuatia kubainika uwepo wa njama za kutumia mkutano huo kupenyeza tamaduni za kigeni zisizofaa.

Akizungumza na wanahabari mkoani hapo katibu huyo amesema walipinga agizo hilo bila kuwa na utafiti akidai kamati ilikuwa sahihi kuanzisha uchunguzi na kwamba vitabu na mipira waliyoisambaza shuleni zilikuwa na rangi zinazotumika kuhamasisha tamaduni zisizofaa nchini.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *