#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limesema limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa katika kipindi chote cha sikukuu ya Eid El-fitr na kuwataka wananchi kushirikiana na Jeshi hilo kutoa taarifa pindi wanapoona viashiria vya uhalifu au vitendo visivyo vya kawaida, ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa mara moja.

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Daniel Emmanuel Shillah, amewataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Eid El-fitr kwa amani na utulivu, huku akisisitiza umuhimu wa kudumisha mshikamano na kuepuka vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha usalama na uvunjifu wa amani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *