YANGA SC: “…tumeshavuka kipindi kigumu”
Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Dodoma tayari kwa mchezo wao wa Jumamosi dhidi ay Mtibwa, huku msemaji wake Ally Kamwe akiwahakikishia mashabiki kwamba sasa ni kipindi cha kupata matokeo ya ushindi.
#NBCPremierleague #NBCPL #YangaSC
(Feed generated with FetchRSS)