#NBCPL “…ilikuwa ni lazima wafungwe” .

Neno kutoka kwa Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ baada ya mechi, ambaye anasema imekuwa ni bahati kwa Azam FC kutoka kwenye mchezo wa leo bila kufungwa.

Kwa upande wa Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge analia na nafasi mbili walizopoteza mwanzoni mwa mchezo…

Naye Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe anashukuru kumaliza mzunguko wa kwanza wa ligi bila kupoteza mchezo na kugusia maandalizi yao kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Singida BS ambao sasa utapigwa Aprili 01, 2026.

FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #MashujaaAzamFC

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *