#NBCPL “…kila anayekuja hapa lazima achinjwe”
Neno kutoka kwa mashabiki kwenye Dimba la CCM Kirumba baada ya mechi…. Pamba Jiji wanatamba “…timu yoyote itakayokuja Kirumba, haitoki..siyo Simba tu…”
Lakini Simba wenyewe bado wanaonesha kuwa na matumaini na timu yao kuelekea mbio za ubingwa… ..
….mwingine ni Simba lakini anaeleza jinsi alivyokoshwa na kiwango cha Pamba Jiji akisema “..ipo siku hata mimi nitahamia Pamba”
FT’: Pamba Jiji 1-1 Simba SC
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #PambaJijiSimbaSC #PambaJijiFC #SimbaSC
(Feed generated with FetchRSS)