Mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Hamadi Aidani, mwenye umri wa miaka 50, ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Mwamkulu wilayani Mpanda, mkoani Katavi amekutwa amefariki dunia, ambapo taarifa ya Polisi mkoani humo imeeleza kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa mtu huyo alifariki baada ya kushambuliwa na mnyama mkali.

Mwili wa marehemu tayari umesafirishwa kwenda kuzikwa nyumbani kwao mkoani Kigoma.

#AzamTVUpdates
✍Mwanaidi Waziri
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *