Hizbullah na Amal zatoa wito wa maandamano makubwa ya kupinga kupokonywa silaha makundi ya muqawamaHizbullah na Amal zatoa wito wa maandamano makubwa ya kupinga kupokonywa silaha makundi ya muqawama



Harakati za muqawama za Hizbullah na Amal za Lebanon zimetoa wito kwa wafuasi wao kujitokeza kwa wingi katika mitaa ya Beirut mji mkuu wa nchi hiyo ili kupinga maamuzi ya hivi karibuni ya baraza la mawaziri ya kuyapokonya silaha makundi ya Muqawama.



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *