Rubani wa shirika la ndege la Air Canada na msaidizi wake wamethibitishwa kufa baada ya ndege yao kugonga gari lilokuwa limeegeshwa kwenye uwanja wa ndege wa Le Guardia jijini New York.

Imechapishwa: Imehaririwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 76 iligonga gari la zimamoto wakati ilipokuwa ikitua kwenye uwanja huo. Kwasasa uwanja huo umefungwa kwa muda kutokana na tukio hilo.

Kulingana na shirika la habari la NBC, Watu wengine 13 wanaendelea kupokea matibabu baada ya kujeruhiwa kwenye ajali hiyo.

Ajali ya ndege ya shirika la Air Canada
Ajali ya ndege ya shirika la Air Canada © Bing Guan / Reuters

Matukio ya ajali za  angani nchini Marekani yamekuwa yakiripotiwa  katika miaka ya hivi karibuni ikiwa ni pamoja na ajali ya kati ya ndege ya abiria na helikopta ya jeshi karibu na Washington mnamo Januari 2025 na kusababisha vifo vya watu 67.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *