Utafiti uliofanywa na wataalamu wa ikolojia umebaini kuongezeka kwa kiwango cha theluji katika Mlima Kilimanjaro ikiwa ni moja ya mafanikio yaliyofikiwa baada ya kampeni za uoteshaji miti maeneo mbalimbali nchini.

Mhifadhi mkuu katika hifadhi hiyo ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro Angela Nyaki amesema kuwa kampeni za uoteshaji miti zilianza mwaka 2020 na zikihusisha serikali, wadau wa misitu na wananchi katika maeneo yote yanayozunguka mlima huo na pwani ya mashariki ya Bahari ya Hindi.

Mhariri | @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *