Mikoa ya Kanda ya Ziwa sambamba na mikoa ya Tabora na Singida kwa pamoja inatajwa kuwa na tishio la ugonjwa wa Polio baada ya tafiti kubaini uwepo wa vimelea vya ugonjwa huo kwenye maji taka mkoani Mwanza.
Kufuatia hali hiyo zaidi ya watoto milioni sita kutoka mikoa hiyo wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya matone ili kuwakinga na ugonjwa huo.
Mhariri | @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)