Familia ya hayati William Lukuvi imesema mwili wa kiongozi huyo aliyekuwa Mbunge mwanadamizi unatarajiwa kuagwa Bungeni jijini Dodoma Ijumaa Machi 27, 2026 kabla ya kuagwa tena jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Karimjee Jumamosi Machi 28, 2028 na kisha utazikwa Jumanne ya wiki ijayo Idodi mkoani Iringa.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)