Zaidi ya wakazi 140,000 wa vijiji 60 vya wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wanatarajiwa kuondokana na shida ya maji safi na salama baada ya bajeti ya Shilingi Bilioni 5.5 kutolewa na serikali kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji.
Enos Masanja na taarifa zaidi.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)