#HABARI: Mwili wa marehemu William Lukuvi ukiwasili katika Viwanja vya Bunge kwa ajili ya Ibada ya maalum ya kuaga mwili huo.

Baada ya wabunge, viongozi na wakazi mbalimbali wa Dodoma kuaga mwili wa Lukuvi, mwili utasafirishwa kwenda Dar es Salaam ambapo utaagwa tena katika Viwanja vya Karimjee siku ya Jumamosi, Machi 28.

Machi 29, 2026 mwili wa kiongozi huyo utasafirishwa kwenda Iringa ambapo nako utaagwa na kuzikwa siku ya Jumanne.

#lukuv🕊🕊

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *