Mtaalamu wa Teknolojia ya Mawasiliano, Kenedy Mmari amesema kuwa njia zote za uhifadhi wa taarifa zina umuhimu mkubwa, kulingana na kiwango cha usalama kinachohitajika kwa taarifa husika.

Amefafanua kuwa si sahihi kuhifadhi taarifa zote katika mfumo mmoja, hasa zile nyeti, kwani zinaweza kuathiriwa kirahisi endapo kutatokea changamoto ya kiusalama. Kutokana na hilo, ameshauri matumizi ya mbinu mchanganyiko za uhifadhi wa taarifa, ikiwemo mifumo ya kidijitali pamoja na uhifadhi wa kimasjala, ili kuongeza usalama na uhakika wa taarifa hizo.

✍Halima Abdallah
@hildaphoya

Mhariri |@rajjmsangi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *